nikiwa nimekaa leacture room
nikimuangalia msichana aliyekaribu
yangu,niliyekuwa nikimuita
"Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia
nywele zake nzuri na sura yake ya
upole huku nikitamani awe
wangu,lakini yeye hakuwa
akitamani hilo na nilikuwa
nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu
na kuniomba notes za siku ya
nyuma kwa sababu hakuweza
kuingia darasani hiyo siku
iliyopita.baada ya kumpa akasema
"asante" na kushikana mikono na
mimi.I wanted to tell her,i want her
to know that i don't want us to be
just friends,i love her but i'm just to
shy,and i don't know why
2nd year
Simu yangu iliita,kupokea alikuwa
yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi
gani boyfriend wake broke her
heart,she asked me to come over
because she didn't want to be
alone,kwa kuwa ni rafiki yangu
kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as
i sat next to her on the
sofa,nilikuwa nikimuangalia
Machoni nikitamani awe
wangu.Baada ya masaa mawili
baada ya kuangalia nae movie mbili
tatu na kula nae chakula pamoja
akarudi katika hali yake ya
kawaida,hivyo akaamua kwenda
kulala,before akaniangalia na
kuniambia "asante" na kunipa
tabasamu tamu,i want to tell her to
know that i don't us to be just
friends,i love her but i'm just too
shy,and i dont know why.
3rd year
Siku moja kabla ya Tamasha la
muziki chuoni alikuja kwenye meza
yangu leacture room na kuniambia
"Boyfriend wangu amepata udhuru
hivyo naomba unipe campan katika
tamasha la muziki leo usiku" kwa
kuwa tuliwekeana promice kwamba
ikitokea kila mmoja wetu amekosa
mtu wa ku-date nae basi tutaenda
pamoja just as "bestfriends".hivyo
tukaenda.
katika tamasha baada ya kila kitu
kuisha na muziki kufungwa,niliku
wa nimekaa nje ya ukumbi
nikimuangalia jinsi alivyokuwa
akicheka na rafiki zake,she saw me
looking to her she smiled at me,i
want her to be mine lakini yeye
alikuwa hafikirii hilo kabisa na
nilikuwa nikilitambua hilo,then she
said to me "nimekuwa na muda
mzuri na wewe asante sana" and
she gave me a sweet smile.I want
to tell her to know that i don't us to
be just friends,i love her but i'm
just too shy,and i dont know why.
Graduation Day
siku,wiki kisha mwezi ukapita
ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza
masomo ya chuo,akiinuka kwenda
kutunukiwa shahada yake ya
uchumi nilikuwa nikimuangalia
akiwa amependeza sana siku ile,i
wanted her to be mine,but she
didn't notice me like that,and i
knew it.
kabla watu hawajatawanyika
kwenda makwao,alikuja kwangu
akiwa na vazi lake la mahafali,na
kulia pale nilipomkumbatia akainua
kichwa chake na kuniambia "you
are my bestfriend asante sana" i
want to tell her to know that i don't
us to be just friends,i love her but
i'm just too shy,and i dont know
why.
Miaka michache baadae
Nikiwa kanisani Yule Msichana
akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia
akisema "ndiyo nakubali " and drive
off to new life,kaolewa na
mwanaume mwingine,i wanted her
to be mine,but she didn't see me
like that,and i knew it.
but before she drove away,alikuja
kwangu na kusema "asante sana"
and kissed me on the cheek.I want
to tell her to know that i dont us to
be just friends,i love her but i'm
just too shy,and i dont know why.
Kwenye Mazishi
Miaka ilipita i looked down katika
jeneza lilokuwa na msichna
ambaye alikuwa ni "bestfriend"
wangu,Katika Service ya mazishi
wakasoma diary ya Bestfriend
ambayo alikuwa akiiandika enzi za
maisha ya chuo'
Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka
hivi
I stare at him napenda awe
wangu,but he doesn't notice me
like that,and i know it,i want to tell
him,i want him to know that i dont
want us to be just friends,i love him
but i'm just to shy,and i dont know
why.I wish he would tell me he
loved me!
Nilipiga magoti huku nikilia
nikijisemea moyoni i wish
ningemwambia tu ukweli,nimeshac
helewa sipo nae tena katangulia
mbele za haki i cried!!
Vunja ukimya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni