Baada ya kumaliza chuo James alifanikiwa
kupata kazi jijini Dar es salaam, Kwa kipindi chote kabla ya kupata
kazi James alikuwa akiishi nje ya mji wa Dar es salaam huko Bagamoyo,
baada ya kupata kazi aliamua kutafuta nyumba ya kupanga ili aweze kuishi
karibu na maeneo ya ofisi aliyokuwa anafanyia kazi, ambapo ilikuwa ni
maeneo ya Sinza madukani. alifanikiwa kupata nyumba nzuri, na kupangisha
chumba na sebule, katika ile nyumba mwenye nyumba alikuwa ni Mama mmoja
wa makamo ambaye alikuwa akiishi peke yake Mama huyu alikuwa na watoto
wa kike wawili wote walikuwa wameolewa hivyo walikuwa wakiishi katika
makazi yao.
Ilikuwa ni nyumba kubwa, ambapo palikuwa
na wapangaji wengine watatu, na James alikuwa ni mpangaji wa nne.Mama
mwenye nyumba alimpokea kwa ukarimu sana James.Baada ya siku mbili tatu
alihamia katika ile nyumba.Maisha ya James katika ile nyumba alikuwa
akiondoka saa kumi na mbili asubuhi na kurudi saa moja jioni, kutokana
na uchovu wa kazi nyingi mara nyingi James alikuwa akipendelea kula
chipsi, kwani alishindwa kupika mara kwa mara ijapokuwa James alipenda
sana kujipikia,Baada ya mwezi mmoja kupita Mama mwenye nyumba alianza
kuonyesha ukaribu na James kwani alianza kuwa anapika chakula na
kumuachia James. Kutokana na uchovu wa kazi James alifurahi sana na siku
zote alikuwa akimuheshimu sana Mama huyu.
Maisha yaliendelea huku James
akionekana kumzoea zaidi Mama mwenye nyumba,mara nyingi walikuwa wakikaa
na kuzungumza pamoja, Ilifikia kipindi Mama mwenye nyumba alianza
kuchukua nguo za James na kufua kila siku ya jumamosi, ijapokuwa
mwanzoni James alionekana kukataa lakini baadaye alikubali kutokana na
Mama mwenye nyumba kuonekana kumsisitiza kuwa asiwe na shaka kwani yeye
huwa anamuonea huruma akirudi kutoka kazini anakuwa amechoka sana.
Siku zilivyozidi kwenda Mama mwenye
nyumba alionyesha kumpenda zaidi James, siku moja akiwa amepumzika
chumbani kwake huku moyoni akifikiria "Huyu James, ni kijana mcheshi
sana, yaani nampenda sana, lakini nashindwa nitawezaje kumueleza hisia
nilizonazo moyoni mwangu, namuhitaji awe wangu peke yangu" Mama mwenye
nyuma alikuwa akiwaza moyoni mwake. Baada ya siku mbili tatu kupita siku
hiyo ilikuwa ni siku ya Jumamosi ambapo James alirudi nyumbani akiwa
ameongozana na dada mmoja ambaye anaitwa Tunu, alipofika nyumbani
alimkuta Mama mwenye nyumba anamsubiri, Mama huyu alipomuona James
ameongozana na msichana mrembo alishtuka huku akionekana kushangaa kana
kwamba mtu aliyepigwa na butwaa.
James alisogea karibu na kumsalimia
kisha alianza kumtambulisha yule dada. "Tunu huyu ni Mama mwenye nyumba
yangu, yule ambaye nilikuambia kuwa naishi naye vizuri sana yaani ni
kama Mama yangu mzazi" Mama mwenye nyumba alikuwa anamtazama James huku
akionyesha tabasamu la kinafki.
James aliendelea kuongea "Mama, huyu ni
mkwe wako anaitwa Tunu,alikuwa anahamu sana ya kukuona nadhani leo
imekuwa vizuri mmefahamiana, nampenda sana huyu mrembo Mama nataka kuoa
kabisa nimuweke ndani ili usipate shida ya kunipikia tena" Huku akiwa
anatabasamu na kuweka utani kidogo James alikuwa amemshika mkono Tunu.
Mama mwenye nyumba aliguna kidogo na kusema "Karibu sana Tunu" Bila
kuongeza neno lolote aliingia chumbani kwake kupumzika na kumuacha James
akiwa na Tunu.
Siku hiyo ilikuwa ni siku mbaya sana kwa
Mama mwenye nyumba kwani alionekana kukerwa sana na kitendo cha James
kumtambulisha mchumba wake, "Yaani huyu James anajifanya mjanja sana,
anakuja na hicho kikahaba chake, kunionyesha mimi ili iweje, na sasa
ngoja atanijua mimi ni nani."Alikuwa akiwaza Mama mwenye nyumba huku
James akiwa hana hili wala lile.Baada ya wiki moja kupita Mama mwenye
nyumba aliamua kumueleza ukweli James kuwa anamuhitaji kimapenzi, hali
ambayo ilimshangaza sana James kwani alikuwa akimuheshimu Mama huyu kama
Mama yake mzazi.Moja kwa moja James alimkatalia Mama mwenye nyumba ombi
lake, kitendo ambacho kilimfanya Mama mwenye nyumba amchukie sana na
wakati huu alianza kumfanyia visa ili James aondoke katika nyumba yake.
James alikuwa katika wakati mgumu sana
ndipo alipoamua kufanya utaratibu wa kuhama katika nyumba ile.
Alifanikiwa kupata nyumba maeneo ya jirani. Baada ya kuhamia pale ndipo
alipopata taarifa za yule Mama mwenye nyumba ya kwanza aliyokuwa anaishi
kuwa Mume wake alifariki na ugonjwa wa Ukimwi na yule Mama ni tabia
yake, kutaka kuwa kimapenzi na vijana wadogo na pia huwaambukiza virusi
vya Ukimwi kwa makusudi. James alihuzunika sana baada ya kupata taarifa
hizo "Nashukuru sana Mungu niliweza kumkataa Mama mwenye nyumba ama
kweli duniani kuna watu wabaya inabidi kuwa makini kwani huwezi kumjua
mtu mwema kwa kumuangalia."
CHUMA ULETE YA CHUNGU
JibuFutaKwanza CHUMA ulete Ni nini?
Ni dawa ambayo utengenezwa kwa mkusanyiko wa utaratibu Fulani unaofanyika kwa pamoja kwa mlengo wa uvutaji au uvunaji wa fedha kutoka sehemu tofauti au mbalimbali.
(Kwa uhitaji wa NDAGU AU JIHNI WA MALI AU FEDHA NA KINGA YA MWILI NA MALI KWA UJUMLA NIPIGIE SIMU MOJA KWA MOJA DOKTA MDIRO +255 742162843 KWA MAELEKEZO HATA KAMA UKIWA MBALI MALIPO NI BAADA YA MAFANIKIO).
CHUMA ulete katika utengenezwaji hutumika jini anayeitwa GHUUL ambae uleta au uvuta fedha kimazingala kutoka sehemu mbalimbali kwa utaratibu maalumu. CHUMA ulete zipo Aina nyingi Ila leo nitazungumzia CHUMA ulete mdogo ya CHUNGU.
Chuma uleteee ndogo ya chungu ambayoo inaluka na kwenda kukusanya pesa sehemu mbali mbali inavuta pesa ndanii .
Hii chakula chake ni udi tuu na unaweza kunuwiza ukachagua ukaomba ikuletee pesa za aina gani wewe utachaguwa kama unavyoona hapo kwenye picha hii ni chuma uleteee ndogo mtu yeyotee anaweza kutengenezewa hata kama huna biashala pia hata Kama upo mbali kikubwa tu uwe na uwezo wa kutunza sili. Vile vileee hii inadumu miaka 5 itakubidii uludi kuja kutengeneza upya kafara ya damu ya kuku mwekunduu inatakiwa kila baada ya miezi 3.
Tafuta chungu kama icho kwenye picha fanya duwa maalumu ambayo nitakupatia na tafuta udi Aina ya sain frola, metrofrolla au metromillan na kitambaa cheupe pia chumba kisafi kwa ajili ya ibada hiyo.
Kumbuka hii ni chuma uleteee ndogo ya chungu hutakiwi kutoaa sili ya jini huyu na ufalume wa jini huyu maana utavunja miiko na maagano ya Jambo Hilo.
Angalizo Piga simu kuepuka MATAPELI pia kwa maelekezo zaidi husifanye jambo hili bila maelekezo KAMILI.
DOKTA MDIRO
Call/whatsup +255 742162843